Application deadline: 18th September 2025
Tuzo ya SACCOS bora yenye Leseni Daraja A kundi la Kijamii
Tuzo ya SACCOS bora yenye Leseni Daraja A kundi la Kazini
Tuzo ya SACCOS bora yenye Leseni Daraja B kundi la Kijamii
Tuzo ya SACCOS bora yenye Leseni Daraja B kundi la Kazini
Uwezeshaji wa wanawake kwenye huduma za Kifedha zinazotolewa na SACCOS
Uwezeshaji wa vijana kwenye huduma za Kifedha zinazotolewa na SACCOS
Uwezeshaji wa huduma za Kifedha kwa makundi ya watu wenye Mahitaji maalumu
Uwezeshaji wa huduma za Kifedha kwenye shughuli za kulinda Mazingira, Jamii na uongozi
Uwekezaji wa SACCOS kwenye mifumo ya Malipo na Digitali
Ushiriki wa SACCOS katika utoaji wa Elimu na Mafunzo kwa wanachama, Viongozi na watendaji wake